• HABARI MPYA

  Friday, July 22, 2022

  YANGA SC YAMKINGIA KIFUA HAJI MANARA ADHABU YA TFF


  UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema Msemaji wake, Haji Sunday Manara hajatendewa haki na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF$ kwa kufungiwa miaka miwili sambamba na kutozwa faini ya Sh. Milioni 20.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMKINGIA KIFUA HAJI MANARA ADHABU YA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top