• HABARI MPYA

  Wednesday, July 13, 2022

  NDONDO CUP KUANZA JUMAMOSI LIVE TV3


  MICHUANO ya Ndondo Cup hatua ya makundi itaanza kutimua vumbi Jumamosi ikionyeshwa moja kwa moja na kituo cha Television cha TV3 kilichopo kwenye King'amuzi ch a Star Times.             
  Mchezo wa kwanza ufunguzi utafanyika kwenye Uwanja wa Kinesi ambapo timu ya Madenge itashuka dimbani dhidi ya Sisi kwa Sisi na mchezo wa pili wa ufunguzi  utafanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Bandari amUwanja       timu ya Azimio itash uka Uwanjani kuwakabili Toroli Combine.                                        Hatua hiyo ya makundi imepangwa janai katika hafla maalum iliiyofanyika hapa jijini Dar es Salaam na kuudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Mpira   wa Miguu    na wadau wa mchezo huo, ikiwemo na viongozi wa Kampuni ya Svg, call    ambao ni Mtendaji Mkuu Carter Luo na Meneja Masoko David Malisa.         Akizungumzia Star Times kuingia enye michuano hiyo Malisa Alisema kuwa wanatambua mchango wa mpiraa Miguu hapachini nao wameona wawe sehemu ya mchango wa Watanzania kushuhudia michuano hiyo.                     Alisema Star Times iaongoza kuwa na watazamaji wengi na mchezo wa soka ni miongoni mwa mchezo pendwa na wao wameona waungane na wadau wa soka kuhakikisha wanatoa vijana kutoka chini. Naye mratibu wa michuano hiyo Yahya Mohamed alisema kuwa michuano hiyo Imefikisha miaka 9 ikiwa ni sehemu ya mchango wa kusaidia vijana kutoka sehemu moja kwenda nyingine.      Alisema kuwa kuna Wachezaji wametoka kwenye michuano hiyo sasa wanacheza ligi Kuu na ligi nyingine tofauti.      Aidha Mohammed alisema kuwa licha ya michuano hiyo kufanyika dar es Salaam, wameongeza mikoa miwili, ambayo ni Dodoma na Mwanza.      • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NDONDO CUP KUANZA JUMAMOSI LIVE TV3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top