• HABARI MPYA

    Thursday, July 07, 2022

    MCHEZAJI WA YANGA PRINCESS AINGIA TUZO ZA CAF 2022

    MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga wa Yanga Princess amewekwa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora Chipukizi wa Kike Afrika 2022.
    Tuzo hizo za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) zitatolewa kwenye kilele cha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake zinazoendelea nchini Morocco tangu Julai 2 hadi 23.


    ORODHA KAMILI YA WALIOJUMUISHWA KWENYE TUZO ZA CAF 2022...
    MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA KIKE
    · Lesege Radiakanyo (Botswana & Double Action)
    · Refilwe Tholakele (Botswana & Township Rollers)
    · Rukiya Bizimana (Burundi & Etoile du matin)
    · Ajara Nchout Njoya (Cameroon & Internazionale Milano)
    · Gabrielle Onguene (Cameroon & CSKA Moscow)
    · Jeanette Yango (Cameroon & FC Fleury)
    · Rose Bella (Cameroon & Trabzonspor)
    · Evelyn Badu (Ghana & Alvaldsnes)
    · Doris Boaduwaa (Ghana & Sekondi Hasaacas)
    · Perpetual Agyekum (Ghana & Sekondi Hasaacas/Alvaldsnes)
    · Sanaa Mssoudy (Morocco & AS FAR)
    · Ghizlane Chebbak (Morocco & AS FAR)
    · Fatima Tagnaout (Morocco & AS FAR)
    · Zenatha Coleman (Namibia & Fenerbahce)
    · Asisat Oshoala (Nigeria & Barcelona)
    · Rasheedat Ajibade (Nigeria & Atletico Madrid)
    · Chiamaka Nnadozie (Nigeria & Paris FC)
    · Uchenna Kanu (Nigeria & Tigres UANL)
    · Andile Dlamini (Afrika Kusini & Mamelodi Sundowns)
    · Bambanani Mbane (Afrika Kusini & Mamelodi Sundowns)
    · Chrestinah Thembi Kgatlana (Afrika Kusini & Atletico Madrid)
    · Jermaine Seoposenwe (Afrika Kusini & Sporting Clube de Braga)
    · Refiloe Jane ( Afrika Kusini & AC Milan)
    · Linda Motlhalo (Afrika Kusini & Djurgardens IF)
    · Odette Gnintegma (Togo & Raja Ain Harrouda)
    · Mariem Houij (Tunisia & ALG Spor)
    · Sabrine Ellouzi (Tunisia & Feyenoord)
    · Fazila Ikwaput (Uganda & Dove FC)
    · Racheal Kundananji (Zambia & SD Eibar)
    · Grace Chanda (Zambia & BIIK Kazygurt)
    MCHEZAJI BORA WA KIKE WA MWAKA WA KLABU
    · Andile Dlamini (Mamelodi Sundowns)
    · Bambanani Mbanie (Mamelodi Sundowns)
    · Zanele Nhlapho (Mamelodi Sundowns)
    · Andisiwe Mgcoyi (Mamelodi Sundowns)
    · Evelyn Badu (Sekondi Hasaacas/Alvaldsnes)
    · Doris Boaduwaa (Sekondi Hasaacas)
    · Janet Egyir (Sekondi Hasaacas)
    · Perpetual Agyekum (Sekondi Hasaacas/Alvaldsnes)
    · Fatima Zahra Dahmos (AS FAR)
    · Ghizlane Chebbak (AS FAR)
    · Sanaa Mssoudy (AS FAR)
    · Fatima Tagnaout (AS FAR)
    · Grace Mfwamba (Malabo Kings)
    · Stephanie Gbogou (Malabo Kings)
    · Rose Bella (Malabo Kings)
    · Fatoumatta Dukureh (Wadi Degla)
    · Hayama Abdellatif (Wadi Degla)
    · Gift Monday (River Angels/FC Robo)
    · Maryann Ezenagu (River Angels)
    · Bassira Toure (AS Mande)
    MCHEZAJI BORA MDOGO WA KIKE
    · Rukiya Bizimana (Burundi & Etoile du Matin)
    · Rediet Assresahagn (Ethiopia & Hawassa City FC)
    · Evelyn Badu (Ghana & Sekondi Hasaacas/Alvaldsnes)
    · Doris Boaduwaa (Ghana & Sekondi Hasaacas/Alvaldsnes)
    · Yasmine Zouhir (Morocco & AS Saint-Etienne)
    · Gift Monday (Nigeria & River Angels/FC Robo)
    · Flourish Sebastine (Nigeria & Bayelsa Queens)
    · Hapsatou Malado Diallo (Senegal & US Parcelles Assainies)
    · Clara Luvanga (Tanzania & Yanga Princess)
    · Fauzia Najemba (Uganda & BIIK Kazygurt)
    KLABU BORA YA WANAWAKE
    · Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
    · Sekondi Hasaacas (Ghana)
    · AS FAR (Morocco)
    · Malabo Kings (Equatorial Guinea)
    · Wadi Degla (Misri)
    · River Angels (Nigeria)
    · AS Mande (Mali)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZAJI WA YANGA PRINCESS AINGIA TUZO ZA CAF 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top