• HABARI MPYA

  Monday, July 04, 2022

  UCHAGUZI YANGA WARUDISHWA NYUMA SIKU MOJA


  KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga imeitudisha nyuma kwa siku moja Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo kutoka Julai 10 hadi 9, mwaka huu.
  Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Malangwe Mchungahela amesema sababu za kurudisha nyuma uchaguzi huo ni kupisha sikukuu ya Eid El Haj.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UCHAGUZI YANGA WARUDISHWA NYUMA SIKU MOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top