• HABARI MPYA

  Sunday, July 10, 2022

  SIMBA YASAJILI KIUNGO MNIGERIA WA COASTAL  KLABU ya Simba imemtambulisha mchezaji mpya wa tatu kuelekea msimu ujao, ambaye ni kiungo Mnigeria Victor Akpan kutoka Coastal Union ya Tanga.
  Akpan anakuwa mgeni wa pili baada ya washambuliaji, Moses Phiri kutoka Zanaco ya kwao na mzawa, Habib Kyombo kutoka Mbeya Kwanza iliyoshuka Daraja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YASAJILI KIUNGO MNIGERIA WA COASTAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top