KLABU ya Yanga, imemtambulisha beki wa kushoto wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Lomalisa Mutambala kuwa mchezaji wake mpya wa nne kuelekea msimu mpya. Mutambala anajiunga na Yanga kutoka klabu ya Sagrada Esperança ya Angola ambayo alijiunga nayo mwaka 2020 akitokea Excel Mouscron ya Ubelgiji, iliyomnunua mwaka 2017 kutoka AS Vita ya kwao, Kinshasa iliyomuibua mwaka 2013. Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 29 anakuwa mchezaji mpya wa nne Yanga baada ya kiungo Mrundi, Gael Bigiriamana kutoka Glentoran ya Ireland Kaskazini, winga Mghana, Bernard Morrison kutoka Simba na mshambuliaji Lazarous Kambole kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Anaungana na wachezaji wenzake Wakongo sita, beki Djuma Shabani, kiungo Yanick Bangala, winga Jesus Moloko na washambuliaji Chico Ushindi, Fiston Mayele na Heritier Makambo.
Afcon Preview: Zambia host Chad at Levy Mwanawasa
-
Off the back of a first victory in the 2025 Africa Cup of Nations
qualifiers, Zambia welcome Chad to the Levy Mwanawasa Stadium on Friday
afternoon. ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment