• HABARI MPYA

  Tuesday, July 12, 2022

  ROBO FAINALI ZA LIGI YA VIJANA JUMATANO CHAMAZI


  ROBO Fainali za Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 zitapigwa Jumatano Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROBO FAINALI ZA LIGI YA VIJANA JUMATANO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top