• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2022

  ZUCHU KUTUMBUIZA SIMBA DAY AGOSTI 8


  MWANAMUZIKI nyota wa kike Tanzania, Zuhura Othman Soud atatumbuiza kwenye tamasha la Simba Day Agosti 8, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  Leo klabu ya Simba imezindua rasmi Wiki ya Simba kuelekea Simba Day Jumatatu ya wiki ijayo, shughuli ambayo imefanyika viwanja vya Mbagala Zakheim Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZUCHU KUTUMBUIZA SIMBA DAY AGOSTI 8 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top