• HABARI MPYA

  Tuesday, July 05, 2022

  RAIS SAMIA AWAALIKA IKULU SERENGETI GIRLS

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Samia Suluhu Hassan leo amewaalika Ikulu, Jijini Dar es Salaam wachezaji wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Gils kabla kuwapongeza kwa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia.


  Pichani ni Rais Samia akiwa na akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, Katibu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia na wachezaji wa Serengeti Gils kabla ya hafla ya kuwapongeza iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA AWAALIKA IKULU SERENGETI GIRLS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top