• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 10, 2022

  MORRISON AOMBA YANGA WASAHAU WALIYOPITA JUU YAKE


  WINGA Mghana Bernard Morrison ameomba mashabiki wa Yanga wampokee tena na kusahau yaliyopita, kwani naye amejiandaa kuwafanyia mambo mazuri.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MORRISON AOMBA YANGA WASAHAU WALIYOPITA JUU YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top