• HABARI MPYA

  Monday, November 02, 2020

  ARSENAL YAIKANDAMIZA MAN UNITED 1-0 PALE PALE OLD TRAFFORD


  Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee kwa penalti dakika ya 69 kufuatia Paul Pogba kumchezea rafu Hector Bellerin katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAIKANDAMIZA MAN UNITED 1-0 PALE PALE OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top