Kipa wa kimataifa wa Tanzania, Riffat Said (sasa marehemu) akiwa mazoezini na timu ya taifa ya Zanzibar Uwanja wa Mao Dze Tung mwaka 1995 kujiandaa na michuano ya Kombe la Challenge iliyofanyika Uganda na Zanzibar Heroes kufanikiwa kutwaa taji pekee la michuano hiyo ikiwafunga wenyeji, The Cranes katika fainali 1-0
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment