Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester City dakika za 45 na ushei na 53 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo mchana Uwanja wa Etihad. Leroy Sane alitokea benchi kuchukua nafasi ya Jesus dakika ya 57 naye akafunga mabao mawili dakika za 77 na 90 na ushei, wakati bao la kwanza leo lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 24. Liverpool ilimaliza pungufu baada ya Sadio Mane kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 37 baada ya kumgonga usoni kipa wa Man City, Ederson PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment