• HABARI MPYA

  Wednesday, September 06, 2017

  MAJERUHI WA YANGA KAKOLANYA NA TAMBWE JUKWAANI UHURU

  Wachezaji majeruhi wa Yanga, kipa Beno Kakolanya (kulia) na mshambuliaji Amissi Tambwe (kushoto) wakiwa jukwaani Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana wakati wenzao wakiendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAJERUHI WA YANGA KAKOLANYA NA TAMBWE JUKWAANI UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top