KUZIONA YANGA NA USM ALGER FAINALI AFRIKA SH 5,000
KIINGILIO kidogo kabisa katika mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji, Yanga na USM Alger ya Algeria kitakuwa Sh.5000 Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment