• HABARI MPYA

    Wednesday, May 31, 2023

    MATOLA SASA KOCHA WA TIMU ZA VIJANA BOSS WA MGOSI NA KIONDO


    KLABU ya Simba imefanya marakebisho katika benchi la Ufundi la timu zake za vijana kwa kumteua Suleiman Matola kuwa Kocha Mkuu wa timu zote za Vijana, huku Patrick Rweyemamu akiwa Meneja wa timu hizo. 
    Matola atafanya kazi juu ya Mussa Hassan Mgosi kocha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 na Nico Kiondo kocha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, wote wakiwa chini ya Meneja Rweyemamu.   
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATOLA SASA KOCHA WA TIMU ZA VIJANA BOSS WA MGOSI NA KIONDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top