NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ leo ameshuhudia mazoezi ya Yanga Jijini Rustenburg nchini Afrika Kusini kuelekea mchezo wao na Marumo Gallants kesho mjini humo.
Yanga kesho watakuwa wageni Marumo Gallants katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Royal Bafokeng mjini humo wakijitaji kuulinda ushindi wao wa nyumbani wa 2-0.
0 comments:
Post a Comment