• HABARI MPYA

  Friday, May 26, 2023

  BILIONEA GHALIB AAHIDI MILIONI 63 KILA MCHEZAJI YANGA


  MFADHILI Mkuu wa Yanga SC, Ghalib Said Mohamed ameahidi zawadi ya Sh. Milioni 63 kwa kila mchezaji iwapo watatwaa Kombe la Shirikisho Afrika.
  Yanga watawakaribisha USM Alger ya katika mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili ijayo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, kabla ya timu hizo zitarudiana Juni 3 Jijini Algiers nchini Algeria.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILIONEA GHALIB AAHIDI MILIONI 63 KILA MCHEZAJI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top