• HABARI MPYA

  Thursday, May 25, 2023

  YANGA YAANZA KUMKABILI FEI TOTO KWA UTOVU WA NIDHAMU


  KLABU ya Yanga imemtaka kiungo wake, Feisal Salum Abdallah kufika mbele ya Kamati yake ya Sheria na Nidhamu kujibu tuhuma za utovu wa Nidhamu zinazomkabili.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAANZA KUMKABILI FEI TOTO KWA UTOVU WA NIDHAMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top