• HABARI MPYA

  Thursday, May 11, 2023

  INTER MILAN YAICHAPA AC MILAN 2-0 NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA


  WENYEJI, Inter Milan wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya AC Milan katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milán, Italia usiku wa jana.
  Mabao ya Inter Milán yamefungwa na Edin Dzeko dakika ya nane na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 11 na timu hizo zitarudiana hapo hapo Mei 16 na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla kati ya Real Madrid na Manchester City, ambazo zilitoka sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza juzi Hispania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INTER MILAN YAICHAPA AC MILAN 2-0 NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top