• HABARI MPYA

  Tuesday, May 16, 2023

  AZAM FC WAREJEA UWANJA WA MAZOEZI KUWEKA MAMBO SAWA


  KIKOSI cha Azam FC leo kimeanza mazoezi kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union Mei 24 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Huo ni mchezo mmoja kati ya miwili ya Azam iliyosalia, mwingine dhidi ya Polisi Tanzania Mei 28 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mechi iliyopita Azam FC ilitandikwa mabao 2-1 na Namungo nyumbani Azam Complex.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WAREJEA UWANJA WA MAZOEZI KUWEKA MAMBO SAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top