• HABARI MPYA

  Thursday, May 25, 2023

  LUNYAMILA ALIVYOREJEA KUTOKA UJERUMANI NA ‘KUWAUA’ SIMBA 1996

   

  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Mathias Mulumba katika mchezo wa Kombe La Hedex Juni 30, mwaka 1996 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Yanga ilishinda 2-0, mabao ya Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ na Lunyamila aliyekuwa anacheza mechi hiyo akitokea Ujerumani ambako alikwenda kufanya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUNYAMILA ALIVYOREJEA KUTOKA UJERUMANI NA ‘KUWAUA’ SIMBA 1996 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top