• HABARI MPYA

  Thursday, May 18, 2023

  YANGA SC WAKIFURAHIA BAO LA MKAPA DHIDI SIMBA 1992 TAIFA


  WACHEZAJI wa Yanga Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu), Hamisi Gaga (marehemu), David Mwakalebela, Method Mogella (marehemu) na Abeid Mziba wakimpongeza Kenny Mkapa (kulia) baada ya kufunga bao pekee dakika ya 10 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya mtani wa jadi kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara Aprili 12, mwaka 1992 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WAKIFURAHIA BAO LA MKAPA DHIDI SIMBA 1992 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top