• HABARI MPYA

  Sunday, May 28, 2023

  RAIS YANGA SC AITISHA MKUTANO MKUU WA MWAKA SAA CHACHE

  RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said ameitisha Mkutano Mkuu wa mwaka utakaofanyika Juni 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
  Tangazo la Mkutano huo linakuja Saa chache kabla ya mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga ikimemyana na USM Alger leo Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS YANGA SC AITISHA MKUTANO MKUU WA MWAKA SAA CHACHE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top