• HABARI MPYA

  Tuesday, May 16, 2023

  YANGA YAPIGA TIZI MARA MBILI KUJIANDAA NA GALLANTS


  KIKOSI cha Yanga katika awamu ya pili ya mazoezi jana Jijini Rustenburg nchini Afrika Kusini baada ya kuanzia Gym, yakiwa maandalizi ya mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Afrika dhidi ya wenyeji, Marumo Gallants kesho mjini humo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAPIGA TIZI MARA MBILI KUJIANDAA NA GALLANTS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top