• HABARI MPYA

  Sunday, May 21, 2023

  CHAMA AFUNGIWA NA KUTOZWA FAINI KWA MCHEZO MBAYA


  KIUNGO Mzambia wa Simba, Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Ruvu Shooting, Abalkassim Suleiman.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA AFUNGIWA NA KUTOZWA FAINI KWA MCHEZO MBAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top