• HABARI MPYA

  Sunday, May 21, 2023

  MASHUJAA YAITANDIKA PAMBA 4-0 KIGOMA KUWANIA KUPANDA LIGI KUU ‘MLANGO WA UANI’


  WENYEJI, Mashujaa wameibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Pamba FC ya Mwanza katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
  Timu hizo zitarudiana Jumapili ijayo Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza na mshindi wa jumla atamenyana na timu iliyoporomoka kwenye mchujo wa Ligi Kuu kuwania kupanda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHUJAA YAITANDIKA PAMBA 4-0 KIGOMA KUWANIA KUPANDA LIGI KUU ‘MLANGO WA UANI’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top