• HABARI MPYA

  Friday, May 26, 2023

  DUBE NA MAYELE KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA ASFC


  WACHEZAJI wawili wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo na Abdul Suleiman Sopu watachuana na wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, Clement Mzize na Fiston Kalala Mayele kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DUBE NA MAYELE KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top