• HABARI MPYA

  Saturday, May 27, 2023

  MALIPO YA TIKETI 5,000 ALIZONUNUA MAMA RAIS DK SAMIA HAYA HAPA!


  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa (kulia) akimkabidhi beki wa Yanga, Dickson Job kiasi cha Sh. Milioni 25 za tiketi 5,000 kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan aliyewanunulia mashabiki kwenda kushuhudia mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger ya Algeria kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MALIPO YA TIKETI 5,000 ALIZONUNUA MAMA RAIS DK SAMIA HAYA HAPA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top