• HABARI MPYA

  Monday, May 29, 2023

  WAZIRI AWAKABIDHI YANGA MILIONI 20 ZA RAIS DK SAMIA


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana (kushoto) akimkabidhi kipa wa Yanga, Metacha Mnata fedha taslimu Sh. Milioni 20 zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa bao lao wakifungwa 2-1 na USM Alger Jumapili kwenye Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI AWAKABIDHI YANGA MILIONI 20 ZA RAIS DK SAMIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top