• HABARI MPYA

  Saturday, May 20, 2023

  MUZAMIL MZAWA PEKEE TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU


  KIUNGO wa Simba SC, Muzamil Yassin ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeingia kwenye kipengele cha kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2022-2023.
  Muzamil anakwenda kuchuana na mchezaji mwenzake wa Simba, kiungo Mrundi Saido Ntibanzokiza, kiungo Mbrazil wa Singida Big Stars, Bruno Gomes na nyota wawili wa Yanga, kipá Djigui Diarra kutoka Mali na mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUZAMIL MZAWA PEKEE TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top