• HABARI MPYA

  Thursday, May 25, 2023

  SIMBA SC YAAJIRI MTAALAMU WA KUSAKA VIPAJI


  KLABU ya Simba SC imemtambulisha Mholanzi, Mels Daalder kuwa Mkuu wake wa Idara ya kusaka vipaji vya kusajili kwneye timu yake kuelekea msimu ujao.
  Daalder amebeba matumaini makubwa ya uongozi wa Simba kutokana na uzoefu wake wa kufanya na kazi na klabu kubwa ikiwemo Manchester United.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAAJIRI MTAALAMU WA KUSAKA VIPAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top