// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAMILIONI YA MAMA, RAIS SAMIA YATUA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAMILIONI YA MAMA, RAIS SAMIA YATUA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, May 22, 2023

  MAMILIONI YA MAMA, RAIS SAMIA YATUA YANGA


  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akimkabidhi Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji kiasi cha Sh. Milioni 20, zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa mabao mawili waliyofunga katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Marumo Gallants kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika Jumatano iliyopita Jijini Rustenburg nchini Afrika Kusini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMILIONI YA MAMA, RAIS SAMIA YATUA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top