• HABARI MPYA

  Monday, May 29, 2023

  SIMBA YATOA POLE KIFO CHA SHABIKI YANGA NA USM ALGER

  KLABU ya Simba imetoa pole kwa kifo cha shabiki mmoja na wengine 30 waliojeruhiwa wakati wa mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika katí ya Yanga USM Alger ya Algeria Jumapili Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YATOA POLE KIFO CHA SHABIKI YANGA NA USM ALGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top