• HABARI MPYA

  Sunday, May 21, 2023

  LIGI KUU YA NBC TANZANIA BARA 2022-2023 KUHITIMISHWA JUNI 9


  MECHI za kufungia msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara wa 2022-2023 zitachezwa Juni 9, kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI KUU YA NBC TANZANIA BARA 2022-2023 KUHITIMISHWA JUNI 9 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top