• HABARI MPYA

  Monday, May 22, 2023

  RAIS SAMIA AWANUNULIA MASHABIKI TIKETI 5000 YANGA V USM ALGER


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewanunulia mashabiki 5000 tiketi za mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger utakaopigwa Jumapili kuanzia Saa 10:00 Jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA AWANUNULIA MASHABIKI TIKETI 5000 YANGA V USM ALGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top