KIPA ALLY SALIM AKABIDHIWA TUZO NA MAMILIONI YAKE SIMBA SC
KIPA Ally Salim akikabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kwa mwezi Aprili mwaka huu, inayoambatana na fedha taslimu Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.
0 comments:
Post a Comment