• HABARI MPYA

  Sunday, May 28, 2023

  AISHI MANULA KWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU


  KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula anatarajiwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu baada ya tiba zake kugonga mwamba nchini.
  Aishi aliumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Aprili 7, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AISHI MANULA KWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top