• HABARI MPYA

  Tuesday, May 23, 2023

  AZIZ KI NDIYE KINARA WA MABAO YA MGUU WA KUSHOTO LIGI KUU


  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso ndiye anaongoza kufunga mabao kwa mguu wa kushoto katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZIZ KI NDIYE KINARA WA MABAO YA MGUU WA KUSHOTO LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top