• HABARI MPYA

  Monday, May 29, 2023

  RAIS WA TFF KARIA ATOA POLE JANGA LA JANA MKAPA


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ametoa kwa pole kwa shabiki mmoja aliyefariki dunia jana wakati wa mchezo wa Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Yanga na USM Alger Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA TFF KARIA ATOA POLE JANGA LA JANA MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top