• HABARI MPYA

  Tuesday, May 16, 2023

  SIMBA SC KUREJEA MAZOEZINI KESHO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI


  KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kufuatia mapumziko ya baada ya mchezo wa Ijumaa dhidi ya Ruvu Shooting wakiibuka na ushindi wa 3-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
  Simba SC imebakiza mechi mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal Union zote nyumbani, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUREJEA MAZOEZINI KESHO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top