TANZANIA ni mwenyeji wa Warsha ya siku nne ya mafunzo ya Leseni za Klabu (Club Licensing) yanayoendelea kwenye hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo yanashirikisha nchi 17, ambazo mbali ya wenyeji Tanzania, nyingine ni Kenya, Uganda, Misri, Rwanda, Eritrea, Sudan Kusini, Gambia, Sierra Leone, Libya, Liberia, Ghana, Somalia, Nigeria na waalikwa, Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment