• HABARI MPYA

  Friday, May 12, 2023

  ULIMBOKA NA KITUMBO WAFUNGIWA MAISHA WAKAE MBALI KABISA NA SOKA


  KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imewafungia maisha Kocha Ulimboka Alfred Mwakingwe na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tabora (TAREFA), Yusuph Kitumbo wasijijusishe na soka.
  Ulimboka, nyota aliyeisaidia Simba SC kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2003 kwa kuwatoa waliokuwa mabingwa watetezi, Zamalek ya Misri - anatuhumiwa kushiriki mpango wa upangwaji matokeo ya mechi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ULIMBOKA NA KITUMBO WAFUNGIWA MAISHA WAKAE MBALI KABISA NA SOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top