• HABARI MPYA

  Saturday, May 13, 2023

  BODA BODA MBAGALA WAPATA UGENI WA MERIDIANBET


  Bodaboda wa Mbagala hatimae wamefikiwa na Meridianbet na wakati huu imekua zamu yao kwani kampuni hiyo imekua ikisaidia watu mbalimbali, Mapema leo wamegawa Refectors kwa 
  Bodaboda hao ili kuwasaidia katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku katika mazingira mazuri.
  Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet bwana Matina Nkurlu alikua mstari wa mbele leo katika kusimamia zoezi hilo la ugawaji wa Reflectors na kuhakikisha kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa mpaka mwisho, Kitu ambacho alihakikisha kinafanikiwa vizuri na zoezi lilikwisha kama lilivyopangwa.
  Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali wateja wao ambao wanajua asilimia kubwa hutumia kampuni hii kufanya ubashiri kwani ndiyo kampuni mabyo inakupa kile ambacho unakitaka kama kaulimbiu yao isemavyo Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.
  Sub-Heading:
  Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
  Uhitaji wa reflectors katika eneo hilo ulikua mkubwa sana kutokana na wingi wa watu na wengine kugombania zile ambazo zilikuwepo lakini bado hazikutosha. Hivyo Matina Nkurlu amewaahidi boda boda wa hapo kuwa watarudi tena eneo hilo kwaajili ya kutoa reflectors kwa wale ambao wamekosa.
  Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.
  Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz
  Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiungahuu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.
  Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni. 
  Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.
   
  Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
   
  NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
  #MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODA BODA MBAGALA WAPATA UGENI WA MERIDIANBET Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top