// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN UNITED YAIBAMIZA WOLVES 2-0 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN UNITED YAIBAMIZA WOLVES 2-0 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Saturday, May 13, 2023

  MAN UNITED YAIBAMIZA WOLVES 2-0 OLD TRAFFORD


  WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
  Mabao ya Man United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 32 na Alejandro Garnacho dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 66, ingawa wanabaki nafasi ya nne, wakizidiwa tu wastani wa mabao wa Newcastle United baada ya wote kucheza mechi 35.
  Kwa upande wao Wolverhampton Wanderers baada ya kichapo cha leo wanabaki na pointi zao 40 za mechi 36 nafasi ya 13.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAIBAMIZA WOLVES 2-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top