• HABARI MPYA

  Monday, May 29, 2023

  YANGA YATOA POLE KWA YALIYOTOKEA JANA DHIDI YA ALGER


  UONGOZI wa Yanga SC umetoa pole kwa shabiki mmoja aliyefariki dunia jana wakati wa mchezo wa Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika baina yao na USM Alger Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YATOA POLE KWA YALIYOTOKEA JANA DHIDI YA ALGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top