• HABARI MPYA

  Sunday, May 14, 2023

  JKT TANZANIA KUCHEZA NA TRANSIT CAMP LEO WAKABIDHIWE KOMBE


  BODI ya Ligi imeandaa mchezo maalum kuikabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi ya Championship timu ya JKT Tanzania, ambayo leo itamenyana na Transit Camp kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Uhuru Jijini dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT TANZANIA KUCHEZA NA TRANSIT CAMP LEO WAKABIDHIWE KOMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top