• HABARI MPYA

  Wednesday, May 24, 2023

  RAIS DK SAMIA AAFIKI TANZANIA KUANDAA AFCON KWA PAMOJA NA KENYA NA UGANDA

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. samia Suluhu Hassan ameunga mkono wazo la kushirikana na Uganda na Kenya kuomba uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027.


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, akipokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, akipokea jezi ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyokabidhiwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Hamisi Mwinjuma, 'Mwana FA' wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa AFCON 2027. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS DK SAMIA AAFIKI TANZANIA KUANDAA AFCON KWA PAMOJA NA KENYA NA UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top