• HABARI MPYA

  Saturday, May 27, 2023

  MAZOEZI YA YANGA JANA KIGAMBONI KUIKABILI USM ALGER KESHO


  KIPA wa Yanga raia wa Mali, Djigui Diarra akitoa maelekezo kwa wenzake wakati wa mazoezi ya jana Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
  Yanga inajiandaa na mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, kabla ya timu hizo kurudiana Juni 3 Jijini Algiers.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA YANGA JANA KIGAMBONI KUIKABILI USM ALGER KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top