• HABARI MPYA

  Sunday, May 14, 2023

  COASTAL UNION YAICHAPA IHEFU SC 1-0 MKWAKWANI


  BAO pekee la Mubarak Hamza dakika ya 24 limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Ushindi huo unaifanya Coastal Union ifikishe pointi 33 na kupanda hadi nafasi ya tisa, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake 33 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 28.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA IHEFU SC 1-0 MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top